Taarifa zinasema aliyekuwa dereva wa gari hilo amepoteza maisha na mwili wake umehifadhiwa kwenye hospitali ya wilaya ya Mufindi.
Meneja wa kundi hilo, Babutale amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo kupitia maneno haya.
“Nimepokea simu nyingi za kuulizwa hali ya msanii wangu @tundamantz mungu mkubwa ametoka salama ingawa wamepata mtihani mkubwa wa kumpoteza dereva aliyekua anaendesha gari yao amefariki Hapo Hapo. Kazi yake mola aina makosa,”
Picha za gari aliyokuwa amepanda Tunda baada ya kupata ajali liko hivi.
No comments:
Post a Comment