Watayarishaji wa show hii Paul T. Scheuring, Neal Moritz, Marty Adelstein na Dawn Olmstead wataendeleza stori ya Prison Break.
Show ilianza kurekodiwa mwezi huu wa nne mwaka 2015 na itakuwa na episode 16-17 kutegmemea na muda wa Miller ambaye alikuwa akiigiza kwenye show za Superhero na Legends of Tomorrow.
Jipya ni kuwa show hii inaelekea kukamilika na kuanza kurushwa hivi karibuni, hii itakuwa Prison Break season 5 na baadhi ya waigizaji wakubwa waliong’arisha Season 1 mpaka 4 watakuwepo.
Stori itahusu “Lincoln na Sara kugundua kuwa Michael yko hai kwenye jele huko nchini Yemen na anataka kutoroka kwa msaada wa marafiki zake“.
No comments:
Post a Comment