Mlezi
wa wanafunzi wa Chuo cha Uongozi wa Fedha Zanzibar Maalim Wazir Hamad
akitoa nasaha zake kwa wapiga kura ambao ni wanafunzi wote wa chuo
hicho.
Mgeni
rasmi katika uchaguzi huo ambae ni Afisa kutoka Tume ya Uchaguzi
Zanzibar (ZEC) Mohd Ali Abdalla akiwanasihi wasimamizi na wapiga kura
kuendesha uchaguzi katika misingi ya haki.
Mgombea
pekee wa nafasi ya Rais wa ZIFASO Juma Shirazi Hassan akipiga kura
yake katika uchaguzi huo uliofanyika chuoni Chwaka Mkoa Kusini Unguja.
Mawakala na wasimamizi wa uchaguzi wakijumuisha kura ili kujua mshindi katika uchaguzi huo.
Rais mpya wa ZIFASO na Makamu wake Juma Shirazi Hassan na Makamu wake Zuwena Jaku Hassan wakitoa shukrani na nasaha zao baada ya kuchaguliwa kuongoza Jumuia hiyo kwa mwaka 2016/2017. Picha zote na Makame Mshenga-Maelezo
No comments:
Post a Comment