Waziri wa Afya Afunga Mkutano wa Chama cha Maofisa Kumbukumbu na Taarifa za Afya Dar.
Mkurugenzi wa
Uhakiki Ubora wa Huduma za Afya kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Mohamed A. Mohamed aliyemwakilisha
waziri wa wizara hiyo, akifunga rasmi Mkutano wa Chama cha Maofisa
Kumbukumbu na Taarifa za Afya Tanzania (THERIA) leo jijini Dar es
Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Maofisa Kumbukumbu na Taarifa za Afya Tanzania (THERIA), Geofrey Semu akizungumza katika mkutano wa THERIA
leo jijini Dar es Salaam. Mkutano huo ulioshirikisha wanachama wa
THERIA kutoka maeneo mbalimbali ya Tanzania umefanyika kwa siku mbili
mfululizo, Aprili 27 na 28, 2016 katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Sayansi
na Tiba cha Muhimbili.
Katibu Mkuu
wa Chama cha Maofisa Kumbukumbu na Taarifa za Afya Tanzania (THERIA),
Rehema Mwaipaja akizungumza na wanachama wake kabla ya kufungwa kwa
Mkutano wa THERIA uliofanyika kwa siku mbili jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa
Uhakiki Ubora wa Huduma za Afya kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Mohamed A. Mohamed (kulia)
aliyemwakilisha Waziri wa wizara hiyo, Bi. Ummy Mwalimu, akimkabidhi
cheti cha shukrani mmoja wa wanachama waanzilishi wa THERIA kwa
kufanikisha mkutano huo.
Mkurugenzi wa
Uhakiki Ubora wa Huduma za Afya kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Mohamed A. Mohamed (kulia)
aliyemwakilisha Waziri wa wizara hiyo, Bi. Ummy Mwalimu, akikabidhi
cheti cha shukrani kwa baadhi ya wanachama waliojitoa kufanikisha
mkutano wa THERIA.
Baadhi ya
Wanachama wa Chama cha Maofisa Kumbukumbu na Taarifa za Afya Tanzania
(THERIA) wakiwa katika mkutano wao uliofanyika katika ukumbi wa Chuo
Kikuu cha Sayansi na Tiba Muhimbili (MUHAS) leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya
Wanachama wa Chama cha Maofisa Kumbukumbu na Taarifa za Afya Tanzania
(THERIA) wakiwa katika mkutano wao uliofanyika katika ukumbi wa Chuo
Kikuu cha Sayansi na Tiba Muhimbili (MUHAS)leo jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya

Wanachama wa
Chama cha Maofisa Kumbukumbu na Taarifa za Afya Tanzania (THERIA)
wakifuatilia hotuba ya Mkurugenzi wa Uhakiki Ubora wa Huduma za Afya
kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk.
Mohamed A. Mohamed (hayupo pichani) aliyemwakilisha Waziri wa wizara
hiyo, Bi. Ummy Mwalimu. Mkutano huo wa siku mbili umefanyika katika
ukumbi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba Muhimbili (MUHAS) leo jijini
Dar es Salaam.
Picha ya
pamoja kati ya Wanachama wa Chama cha Maofisa Kumbukumbu na Taarifa za
Afya Tanzania (THERIA) wakiwa na Mkurugenzi wa Uhakiki Ubora wa Huduma
za Afya kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto, Dk. Mohamed A. Mohamed (katikati mwenye suti ya kijivu) pamoja
na viongozi wa chama hicho na wageni wengine waalikwa.
Picha ya pamoja kati ya meza kuu, mgeni rasmi na viongozi na kamati ya mkutano huo
No comments:
Post a Comment