Tetemeko hilo lenye ukubwa wa alama 7.1 likiwa limefikia kina cha kilomita 10 limetokea jumamosi, na kufuatiwa na matetemeko kadhaa madogo.
Tahadhari ya kutokea tsunami ilitolewa, lakini kwa sasa imeondolewa. Japan huwa ikikumbwa na matetemeko ya mara kwa mara lakini uzingatiaji wa ujenzi imara umekuwa ukifanya madhara yawe madogo.
No comments:
Post a Comment