Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa, akifafanua
jambo wakati akizungumza na Wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano
Tanzania (TCRA) (hawapo pichani), kuhusu mkakati mpya wa Mamlaka hiyo wa
kufanya kazi kwa ubunifu na uadilifu ili kuongeza mapato.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (wa kwanza
kulia waliokaa), akifuatilia maelezo ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dk. Ally Simba, kuhusu matumizi ya mtambo
wa kufuatilia miamala ya huduma za fedha inayofanyika kwa njia ya
elektroniki kupitia simu za mkononi (TTMS).
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
No comments:
Post a Comment