Thursday, 31 March 2016

CUF wajituliza zanzibar som hapa..


KAMATI ya Utendaji ya Chama cha Wananchi (CUF), imeanza vikao vyake visiwani Zanzibar chini ya mwenyekiti wake ambaye pia ni Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad

Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Maasiliano ya Umma wa CUF Hamad Masoud Hamd
Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Maasiliano ya Umma wa CUF Hamad Masoud Hamd
Akizungumza na MTANZANIA jana, Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano wa CUF, Hamad Masoud Hamad, alisema kikao hicho kitaandaa ajenda kwa ajili ya Baraza Kuu la Uongozi, ambapo pamoja na mambo mengine itaandaa ajenda kuhusu mwelekeo wa chama hicho na hali ya kisiasa Zanzibar.

Naibu katibu mkuu wa CCM asema haya soma hapa.

Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Rajab Luhwavi akisalimia baadhi ya viongozi wa CCM, baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Mbeya kwa ajili ya kuzungumza na wafanyakazi

Tanzania yatolewa nje msaada na shirika la Milenia..

Ikiwa siku mbili baada ya Marekani kuitoa Tanzania kwenye nchi wanachama wa Shirika la Changamoto za Milenia (MCC), hivyo kukosa zaidi ya Sh. trilioni moja, wahisani wengine 10 kati ya 14 waliokuwa wakichangia bajeti ya serikali kuu wamejitoa

Uchunguzi wa kusafirisha tumbili wakamilika.



Kikosi kazi maalumu cha kuchunguza makosa ya kihalifu kimekamilisha uchunguzi wa tuhuma za usafirishaji Tumbili 61

Rachel Kizunguzungu amrudia Mungu… ni baada ya yote aliyofanya na kupitia.

Mwimbaji Rachel ambaye ujazo wa jina lake uliongezeka baada ya kujiunga na nyumba ya vipaji Tanzania (THT) na kuanza kuachia nyimbo zake,

Vodacom wamempa Shomary Kapombe milioni moja yake tayari !!

Mchezaji wa timu ya Azam FC Shomary Kapombe jana amekabidhiwa shilingi Milioni 1/ kutokana na kutajwa kuwa mchezaji bora wa mwezi January 2016 kwenye ligi ya soka ya VPL

Ruge ajibu maswali ya PB CloudsFM, mafanikio ya kampeni, Fiesta 2016 na mengine...

March 31 2016 Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji Clouds Media Group, Ruge Mutahaba alikaa kwenye meza ya Power Breakfast Clouds FM kuongelea

Majibu ya REA baada ya MCC kukatisha msaada wa TRILIONI 1 kwa Tanzania..

Siku kadhaa zilizopita bodi ya Shirika la Marekani la Changamoto za Milenia (MCC) 

Wabunge watatu wa CCM waliofikishwa Mahakamani Dsm wapata dhamana, ilianzaje?

March 31 2016 Taasisi ya kupambana na Rushwa TAKUKURU iliwafikisha Mahakamani Kisutu Dar es salaam Wabunge wa CCM  Victor Mwambalaswa wa Lupa, Kangi Lugola wa Mwibara na Sadiq Murad

Ushindi wa Yanga vs Ndanda FC March 31 2016 umeiingiza kwenye nusu fainali.

March 31 klabu ya Dar Es Salaam Young Africans inayojiandaa na mchezo wake wa klabu Bingwa barani Afrika dhidi ya klabu ya Al Ahly ya Misri, ilishuka dimbani kucheza mchezo

Hizi ndiozo picha 7: Wabunge watolewa nje ya Bunge Kenya baada ya kupiga filimbi Rais akihutubia.

Baada ya Rais Uhuru Kenyatta kuanza kulihutubia bunge baadhi ya Wabunge

Mwakyembe apokea taarifa ya sheria ya manunuzi soma hapa...

Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Jaji Aloysius Mujulizi (Kushoto) akizungumza wakati wa kuwasilisha taarifa ya utafiti wa marekebisho ya Sheria ya Manunuzi ya Umma, katikati ni Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt.Harrison Mwakyembe na kulia ni katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Sifuni Mchome.
5
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt.Harrison Mwakyembe akipokea taarifa ya utafiti wa marekebisho ya Sheria ya Manunuzi ya Umma kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Jaji Aloysius Mujulizi.

Kamati ya bunge huduma na maendeleo ya jamii yaendelea mradi wa upanuzi wa masafa ya usikivu ya TBC kisarawe.

tib1
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akisalimiana na mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya huduma na maendeleo ya jamii Bw.Peter Serukamba katika

Utoaji mimba usio salama ni jambo la kawaida nchini tanzania na ni sababu kubwa ya kuongezeka vifo vingi vya wajawazito.

0001
Dr. Neema Lusikamayki Mkurugenzi wa Huduma Kinga Wizara ya Afya,

Mabondia wanne wapigwa pini story ipo hapa.

Bondia Thomasi Mashali katikati akisaini mkataba mbele ya katibu mkuu wa chama cha gumi za kulipwa PST Anton Ruta kwa ajili ya mpambano wake  wa ubingwa wa Dunia

TCRA YAIKABIDHI LESENI YA BIASHARA KAMPUNI YA AGANO SAFI STORY NZIMA IPO HAPA.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dk. Ally Simba (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa Kampuni

Picha,Tuzo zimefanyika na hawa ndio waigizaji bora wa kiume na kike Bollywood.

movies
Muigizaji mkubwa duniani kutoka nchini India ‘Bollywood’ Amitabh Bachchan na Kangana Ranaut wamefanikiwa

Picha,Shilole ajiita mama kijacho, je anaujauzito je? nini kimetokea soma hapa .

shilolee 2
Bongo Fleva super staa Shishi baby Shilole amejiita

Picha,Kanye West na Kim Kardashian wahamia kwenye jumba lao la kifahari.

kanye 23
Hizi ni picha za jumba la kifahari waliohamia wanandoa Kanye West na mke wake Kim Kardashian hivi karibuni.
Kanye na Kim walikuwa

Dakika chache baada ya kujiunga na Instagram & Twitter Halle Berry amtrend na hii picha zipo hapa.

halle berry
Mwigizaji Halle Berry kwa mara ya kwanza amejiunga na mitandao ya kijamii ya Twitter na Instagram na picha yake

Tetesi,Mpenzi wa Tyga ‘Kylie Jenner’ anaujauzito story nzima ipo hapa.

kylie-jenner-tyga-king-cairo
Maneno mtaani yanasema mpenzi wa rapa Tyga ‘Kylie Jenner’ anaujauzito wa msanii huyu akiwa na miaka 18.
Huyu atakuwa mtoto wa kwanza kwneye

Hillary Clinton amtembelea Beyonce kwenye utengenezwaji wa video yake.

beyonce
Mitandao ya udaku nchini Marekani imeripoti kuwa mgombea wa urais Hillary Clinton amemtemblea Beyoncé kwenye

Mozey Radio atoa sababu ya kuonyoa rasta zake, je? kimeajili nini soma hapa..

Mozey-Radio
Msanii wa GoodLyfe Sekibogo Moses aka Mozey Radio, amesema

Davido atoa maelezo juu ya milio ya risasi iliyosikika nyumbani kwake.

Tilla-and-Davido
Davido ametoa maelezo juu ya milio ya risasi iliyosikika kwenye nyumba yake iliyopo huko Lekki. Staa huyu

Waziri mkuu wa India anaimani huyu mwigizaji anafaa kuwa rais wa India.

president
Mwana siasa Amar Singh amesema Waziri mkuu wa India

Tetesi,Manchester United inamtamani Renato Sanches wa Benfica soma hapa.

renato-sanches
Klabu ya Manchester United imeanza kumuangalia kwa karibu kiungo wa Benfica mwenye miaka 18 Renato Sanches baada

Valencia ya Hispania yamtimua kazi kocha wake Gary Neville.

gary-neville-valencia
Klabu ya Valencia ya Hispania yamtimua kazi kocha wake Gary Neville kutokana na mwenendo mbaya wa timu hiyo

Wednesday, 30 March 2016

WADAU WA SEKTA YA USAFIRI WA ANGA WAKUTANA KUJADILI USAFIRI WA ANGA (CIVIL ATIVIATION MASTER PLAN) DAR ES SAALAM.

10
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi  na Mawasiliano, Dkt Leonard Chamuriho(katikati) Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Hamza Johari(Kulia)  na Kaimu Mkurugenzi Mkuu  wa Mamlaka

UFAFANUZI KUHUSU KIMA CHA CHINI KUHUSU MAFAO YA WASTAAFU PITIA HAPA.

index

TAARIFA KWA UMMA
Hivi karibuni Mamlaka imekuwa ikipokea Malalamiko mengi kutoka kwa wanachama na wadau mbalimbali

WALIOKATA TIKETI KWAAJILI YA PAMBANO KATI YA STARS NA CHAD KURUDISHIWA FEDHA ZAO.

b
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kuwarudishia fedha zao kesho Jumanne, wapenzi wa mpira wa miguu waliokuwa wameshakata tiketi za kushuhudia mchezo wa kundi G kati ya Tanzania v Chad jijini Dar es salaam.

AZAMU YANGA WAINGIA WOTE DIMBANI ALHAMISI KUWAKABILI WAHASIMU WAO.

asfclounge
Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) linatarajiwa kuendelea Alhamisi kwa michezo miwili kuchezwa katika hatua ya robo fainali ya michuano hiyo.

PROF.MBARAWA AFANYA ZIARA YAKUSHTUKIZA KOJ KURASINI HABARI ZAIDA HAPA.

1
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akiongea na baadhi ya wafanyakazi wa TPA eneo la kupakulia mafuta yanayoingia nchini (KOJ) Kurasini

SERSNGETI BOYS YAELEKEA KUMINYANA NA MISRI.

serengeti-new
Timu ya Taifa ya Vijana wenye umri chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) inatarajiwa kucheza michezo miwili ya kirafiki na timu ya Taifa ya Misri Vijana wenye umri chini ya miaka 17 (The Pharaohs) jijini Dar es salaam.
Mchezo wa kwanza kati ya Serengeti Boys dhidi ya The Pharaohs utachezwa siku ya Jumamosi, Aprili 2 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, huku mchezo wa pili ukichezwa Jumanne Aprili 5 katika uwanja wa Azam Complex Chamazi.
Msafara wa The Pharaohs unatarajiwa kuwasili Alhamis tarehe 31, Machi ukiwa na watu 33, wakiwemo wachezaji 25 pamoja na viongozi 8, na wataondoka nchini tarehe 6 Aprili kurudi kwao nchini Misri.
Kikosi cha Serengeti Boys kinachonolewa na makocha Bakari Shime na Sebastian Mkomwa wakishauriwa na Jan Poulsen, kimeendelea na mazoezi katika uwanja wa Karume, zilipo ofisi za Makao za Makuu ya TFF.
Serengeti Boys ilingia kambini takribani wiki mbili zilizopita katika hosteli za TFF zilizopo Karume, kujiandaa na michezo hiyo miwili ya kirafiki ya kujipima nguvu kujiandaa kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Vijana wenye umri chini ya miaka 17 zitakazofanyika mwaka 2017 nchini Madagascar.
Tanzania itaanza kuwania kufuzu kwa fainali hizo mwishoni mwa mwezi Juni, kwa kucheza dhidi ya timu ya Taifa ya Vijana ya Shelisheli.


Kanye West asema huu ndio wimbo wake bora wa mwaka 2015.

Rapa Kanye West ametumia instagram yake kutufahamisha kuwa

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAENDELEO YA MIUNDO MBINU YAFANYA ZIARA YATEMBELEA MRADI WA UPANUZI WA UWANJA WA NDEGE.YA

 KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Miundombinu, imefanya ziara ya kutembelea mradi wa upanuzi wa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal Three- TBIII), jijini Dar es Salaam, Machi 29, 2016 ambapo awali wajumbe wa kamati hiyo inayoongozwa na Profesa Norman Adamson Sigalla King, walipatiwa maelezo ya kina ya maendeleo ya mradi huo unaohusisha jengo la kisasa la abiria na sehemu ya kuegesha ndege kwa ajili ya kupakia na kushusha abiria na sehemu ya maegesho ya magari. Baada ya maelezo hayo ya kina yaliyotolewa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini, (TAA), Mhandisi George Sambali akisaidiana na baadhi ya wakurugenzi wengine wa Mamlaka hiyo, wajumbe hao walitembelea mradi huo na kujionea hatua mbalimbali za ujenzi ambapo kwa sasa ujenzi umefikia karibu asilimia 60. Pichani, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAA, Mhandisi George Sambali, (kushoto), akitoa maelezo kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo ya Bunge, Norman Adamson Sigalla King, (kulia), na baadhi ya wajumbe na maafisa wa TAA

IZZO BISSNESS ALIUVYO WAPAGAWISHA WAKAZI WA JIJI LA MBEYA NA VIUNGA VYAKE SOMA HAPA..



Mamia ya mashabiki wakifurahia burudani toka kwa Izzo  Bizness

SERIKALI YAJIPANGA KUWASIDIA WAKULIMA ILI KUPAMABANA NA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI NA HALI YA HEWA.

DSC_1667
Wageni rasmi katika mkutano huo, Wa kwanza kushoto ni Mtafiti kutoka Taasisi ya Mtandao wa Kutathimini Sera za Chakula, Kilimo na Maliasili (FANRPAN), Njongenhle Nyoni, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dkt. Tausi Kida na Mkuu wa Kitengo cha Mazingira kutoka Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Bi. Shakwaanande Natai

.
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi imejipanga kuhakikisha inawasaidia wakulima kupambana na mabadiliko ya tabia ya nchi ambayo yanaonekana kuendelea kuikabili nchi.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Kitengo cha Mazingira kutoka Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Bi. Shakwaanande Natai alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika mkutano ulioandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF) na Taasisi ya Mtandao wa Kutathimini Sera za Chakula, Kilimo na Maliasili (FANRPAN) ili kujadili mpango wa Kilimo Salama (CSA).
Bi. Natai alisema serikali inatambua uwepo wa mabadiliko ya Tabia ya Nchi na kwasasa tayari wataalamu wanafanya tafiti ili waone ni jinsi gani wanaweza kuwasaidia wakulima kupambana na mabadiliko hayo.
Alisema kwa sasa bado wakulima wengi hawajafahamu kama kuna mabadiliko ya tabia ya nchi na hivyo wamekuwa wakitumia njia za asili lakini baada ya utafiti watapatiwa mbinu mpya za kupambana na mabadiliko ambapo wataweza kutumia njia za kisasa ambazo zinaonekana kuwa bora zaidi.
“Serikali inatambua na tunajipanga kuwasaidia wakulima, shida kwa sasa bado wakulima wengi hawajajua kama kuna mabadiliko ya tabia ya nchi lakini wataalamu wapo wanafanya tafiti baada ya hapo tutajua tunawasaidia vipi,
“Kwa sasa kinachoonekana ni kutokueleweka kwa hali ya hewa kama mafuriko kutokea lakini kwa kuwa bado hawajapatiwa elimu wanashindwa kutambua na bado wanatumia njia za asili, tutawapa mbinu mpya watafanya kwa pamoja na mbinu wanazotumia sasa za asili,” alisema Bi. Natai.
Aidha alieleza kuwa baadhi ya huduma ambazo watapatiwa wakulima baada ya kukamilika kwa tafiti ni pamoja na kupewa elimu ya kilimo cha umwagiliaji, mbegu za kisasa ambazo zinawahi kukomaa na dawa za kupambana na magonjwa.
Nae mtafiti kutoka FANRPAN, Njongenhle Nyoni alisema taasisi yake imefanya mkutano huo ili kuona ni jinsi gani wanaweza kupambana na mabadiliko ya tabia ya nchi katika nchi ambazo wanafanya kazi ambapo Tanzania ni mojawapo.
Alisema wao wanafanya tafiti kuona hali ilivyo na baada ya hapo wanatazama changamoto zilizopo katika kupambana na mabadiliko na wanatoa ushauri ni jambo gani linaweza kufanyika ili kuwezesha kufanikisha kufanyika Kilimo Salama (CSA).
“Tunakutana na watu kutoka asasi za kijamii na taasisi mbalimbali ili kuona ni jinsi gani CSA inaweza kufanya kazi vizuri hasa katika maeneo tunafanya nao kazi na hii sio Tanzania tu hata mataifa mengine kama Malawi tunalifanya hili,” alisema Nyoni.
Pia iliongeza kuwa malengo ya FANRPAN ni kusaidia wakulima kuondoka katika janga la umasikini lakini pia kuwepo kwa chakula kilicho katika hali ya usalama bila kuathiriwa na mabadiliko ya tabia ya nchi.
DSC_1671
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dkt. Tausi Kida akitoa neno la ufunguzi.

UBALOZI NCHINI INDIA WAADHIMISHA ITEC DAY SOMA HAPA.

3
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora  Mh. Angellah Kairuki (Mb) akizungumza katika maadhimisho ya  Siku ya Ushirikiano wa Kiufundi  na Kiuchumi  kati ya Tanzania na India (ITEC DAY) yaliyofanyika katika Kituo cha Utamaduni cha  India jijini  Dar es Salaam.

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI AFANYA ZIARA KIGOMA.

KIS1
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati), akisalimiana na wafanyakazi wa Mashirika mbalimbali ya Kitaifa na Kimataifa yanayohudumia wakimbizi katika Kambi ya muda ya NMC, iliyoko mkoani Kigoma, kushoto ni Mratibu wa Wakimbizi  Mkoani  Kigoma, Tonny  Samwel  Laiser.Naibu Waziri yupo mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi.


KIS2
Msimamizi  wa  Kambi ya muda ya NMC, Jordan Emmanuel (wa kwanza kushoto), akimuonyesha Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, jinsi mfumo wa jiko la kupikia chakula  kambini hapo unavyofanya kazi.Naibu Waziri yupo mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi.

KIS3
Sehemu ya vitanda vipya vikiwa katika moja ya mabweni ya Kambi ya muda ya wakimbizi ya NMC , tayari kwa kufungwa na kuanza kutumika na wakimbizi wanaohifadhiwa kambini hapo.

Tuesday, 29 March 2016

Mtangazaji aliyetongozwa na Prezzo wakati wa interview Betty Kyallo atengana na mpenzi.

prezzo11-2y14t7amg631d8gwok7ytm
Mtangazaji aliyetongozwa na rapa Prezzo wakati wa interview yao kwenye tv Betty Kyallo ametengana na mpenzi wake Dennis Okari,

Friday, 25 March 2016

Alichosema Muna Love kuhusu mahusiano na Ujauzito wa Petit Man Wakuache.

muna love
AReporter Wa ENews #DuweSantana amekutana na Muna Love ambaye ni mwana dada maarufu kwenye burudani Tanzania aliyewahi kuwa mke wa msanii wa muziki wa Dance Kala Junior na kuzaa na mtangazaji maarufu hapa Tanzania Casto Dickson.
Hivi karibuni Muna Alihusishwa na mahusiano ya kimapenzi na meneja wa Mirror na wasanii wa EndLess Fame Petit Man Wakuache na kwenye video.

Kauli ya Juan Mata kuhusu tetesi za Zlatan Ibrahimovic kujiunga Man United

March 23 headlines za nahodha wa timu ya taifa ya Sweden anayeichezea klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa Zlatan Ibrahimovic, jina lake limerudi kwenye headlines baada ya kiungo wa kimataifa wa Hispania anayeichezea klabu ya Man United Juan Mata kuzungumzia ujio wake Man United.
Juan Mata amezungumzia kuhusu tetesi za muda mrefu kuwa Zlatan atajiunga na Man United mwishoni mwa msimu huu akitokea Paris Saint Germain, Mata ameongea maneno haya baada ya kusikia tetesi hizo.

all-of-zlatan-ibrahimovics-26-league-goals-for-psg-this-season-video
Zlatan Ibrahimovic
“Zlatan ni mchezaji mzuri na siku zote nimekuwa nikipenda kucheza na wachezaji wazuri, sina mamlaka ya kuamua ajiunge na Man United au vinginevyo, nafikiri huo ni uamuzi wake na klabu, kwangu itakuwa faraja kucheza nae ila sijui kama yeye ataamua kujiunga na Man United au kuendelea na PSG” >>> Mata.

Ruby kaachia single hii Sijutii Remix akiwa amemshirikisha Wakazi isikilize hapa

Hii ni single mpya ya msanii, Ruby ambaye time hii katuletea hii  Sijutii Remix akiwa na msanii wa Hip Hop Wakazi.
Isikilize hapa mtu wa nguvu kisha usisahau kuniandikia ya moyoni ili Ruby na Wakazi wakipita hapa wasome kutoka kwa watu wao wa nguvu.

Picha 10 za Joseph Kusaga kakutana na Ma Deejay wa miaka ya 80 na 90 Escape 1 soma hapa..

Leo MARCH 24, 2016 Mkurugenzi wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga aliandaa party iliyopewa jina la Barbecue Party ambayo iliwakutanisha Ma Deejay wakongwe ambao waliwahi kufanya kazi miaka ya 80 na 90 kwenye ma redio na ma disco mbalimbali.
Miongoni mwa list ya ma Deejay waliohudhuria katika party hiyo iliyofanyika karibia na ufukwe wa bahari ya hindi (Escape One) akiwemo, Dj Elly, Dj Rico, Dj Venture, Dj Bonilove, Dj Dilinga, Dj Makay, Dj Peter Moe, Dj GodFather wa disco la Tazara, Dj First Aid na wengineo.

Huyu ndio nyota wa Taifa Stars aliyetoka Uingereza kwa ajili ya mchezo dhidi ya Chad.

Good news kwa soka la Tanzania hususani katika kipindi hiki cha kuelekea mchezo wa marudiano dhidi ya timu ya taifa ya Chad wa kuwania kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika 2017 itakayofanyika Gabon.
Tayari kuna taarifa za mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayeichezea klabu ya Mansfield Town ya Ligi daraja la pili Uingereza Abdillahie Yussuf anaripotiwa kujiunga na Taifa Stars kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya Chad utakaochezwa uwanja wa Taifa Dar Es Salaam Jumatatu ya March 28.

Yussuf_2797311